Utaratibu kuunda dawa kutibu Ukimwi ni urefu na tatizo sana. Makampuni ya dawa kwa kawaida yanatoka Marekani au Ulaya wa Magharibi. Ili inawezekana makampuni ya dawa yauze dawa yao, kwanza inahitaji kupita majaribio mengi. Majaribio ya kwanza hufanyika na seli halafu na wanyama. Kama haya yanaendelea vizuri, dawa yanawezekana kujaribiwa katika binadamu. Ili upate matokeo mazuri katika muda mfupi, makampuni yanataka kufanya marajibio ya binadamu katika Waafrika kwa sababu watu wengi wana Ukimwi.
Pia, matokeo yanafanyika haraka zaidi inapotumiwa "placebo" kulinganisha na dawa mpya (badala ya dawa ambayo imeshatumiwa kutibu wagonjwa). Kawaida hii haingeruhusiwa katika Marekani ama Ulaya, lakini wanasayansi wanasema kwamba kwa sababu la Waafrika wengi hawawezi kupata tibu kwa kawaida, ni nzuri zaidi kwamba angalau nusu watapata dawa katika jaribio. Kuhusu nusu wengine, hawatakipoteza kitu chochote.
Wengine wanasema kwamba kutumia 'placebos' ni sawa kwa sababu itahimiza maendeleo ya dawa, halafu dawa mpya itapatikana mapema zaidi kwa matumizi ya wagonjwa. Je, mnafikiri ni ya maadili (ethical) zaidi kutumia placebos au kuwakimu dawa nyngine (the "basic minimum of care" inapatikana katika Marekani au sehemu za Afrika) watu wa kundi ya kulinganisha?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Nafikiri ni maadili zaidi kuwapata watu wa Ukimwi katika Afrika dawa mpya badala ya "placebos" kwa sababu Ukimwi ni gonjwa baya sana na halitaondoka miili ya watu bila dawa halisi. Nimeweza kuona sababu kwa kuwapata wagonjwa dawa feki: wasayansi wanahitaji kuhimiza maendeleo ya dawa na njia ya kufanya ile ni kutumia "placebos" badala ya dawa ambayo imeshatumiwa kutibu wagonjwa kusaidia angalau nusu wa watu na Ukimwi kwa sababu dawa inahitaji majiribio kabla ya linaweza kutumiwa na watu na Ukimwi .
Ijapokuwa nafikiri ni maadili zaidi kutumia dawa badala ya "placebos", ningesema wasayansi wanahitaji kuendelea kutibu watu na Ukimwa na dawa mpya. Ikiwa hii ina maana kwamba watu nusu na Ukimwi tu watapata utitabu, ni bora kuliko watu sufuri wanapata utatabu.
Kwa hivyo, nafikiri ni bora kujaribu kusaidia watu wengi badala ya kuacha utitabu mpaka dawa mpya inapatikana kwa watu wote na Ukimwi. Pengine wasayansi wanafikiri kutumia "placebos" ni njia kufanya hii. Lakini nimehuzunika wakati nafikiri kuhusu watu na Ukimwi wanaofikiri wanapata utaratibu kwamba ni "placebo."
Uamuzi huu si kitu rahisi, lakini ni muhimu sana kuwa wanasayansi wajaribu kutafuta kwa upesi matibabu mazuri zaidi ya kutibu ugonjwa wa UKIMWI.
Kwa hivyo, wanasayansi wakiamua kwamba wanahitaji kupima dawa mpya dhidi ya “placebo”, ninaamini wana haki kufanya hivyo. Ni kweli kwamba ingekuwa nzuri zaidi kuweza kupima dawa mpya kwa njia nyingine, lakini desturi hii inatumuliwa kote dunia ikiwa wanasayansi wanataka kupima dawa mpya, ambayo wanafikiri itasaidia wagonjwa.
Nakubaliana na wengine kuwa ingekuwa maadili zaidi kupatia kundi, ambalo linapatiwa “placebo”, dawa nyingine ambayo inatumuliwa tayari lakini ni yamkini kwamba dawa hii ina bei ghali. Wanasayansi wanapewa idadi maalum ya pesa kufanya kazi yao, na wanahitaji kutafuta njia bora ambayo itasadia watu wengi zaidi.
Kwa hivyo, ninahisi kwamba ni muhimu zaidi kwamba wanasayansi watumie “placebos” ili walinganishe dawa mpya, ikiwa hawana njia nyingine. Ni kweli kuwa watu wengine watalalamika kwamba hii si maadili lakini katika ulimwengu wetu kuna matatizo mengi. Wakati mwingine tukitaka kupata suluhisho tunaahitaji kuadua (make a sacrifice).
Sasa hivi, duniani tumefika sehemu ambapo watu wote wanataka kuwa na matibabu ya ugonjwa wa Ukimwi. Kwa hivyo, angalau hii jinsi ya kutumia 'placebos' na kadhalika si bora zaidi, nafikiri ni namna nzuri kuliko yote ya kutafuta matibabu ya Ukimwi.
Ninafikiri ni ya maadili kutumia 'placebos' kwa sababu hata ikiwa baadhi ya wagonjwa tuu wataanza kupona ni bora kuliko mtu mmoja hatibiwa hata kidogo.
Nakubaliana na Jason kwamba wanasayansi wanpewa idadi ya pesa maalum ya kufanya kazi zao. Kwa hivyo wakijitahidi sana na wakifikiri kwamba jinsi hii ni bora zaidi ya kupata matibabu, nitakubaliana na hawa.
Kama Jason alivyosema, uamuzi huu si kitu rahisi. Ninakubaliana wengine kwamba kutumia "placebos" si maadili zaidi. Lakini ninakubali pia kwamba labda hii ni njia bora. Je, ni bora kwamba wachache wahangaike ama wote?
Lakini kwa sababu ninafikiri kuwa afikiano ninadhani kwamba tutafute kwa njia kupunguze mateso yale. Pengine njia mmoja ni kwa wasayansi wanaofanya majiribio kuandike majina ya watu waliopewa "placebo" na baada ya wasayansi wanajua kwamba dawa mpya ni bora watawakupa watu wa "placebo" dawa. Lakini njia hii si laiki.
Pia nina swali kuhusu kutumia "placebo". Mimi si mwanasayansi kwa hivyo sijui ikiwa hili ni swali zuri. Lakini ningefikiri kwamba ingawa ni upesi zaidi kulingana dawa mpya na "placebo" itakuwa bora zaidi kulingana dawa mpya na dawa imeshatumiwa kutibu Ukimwi. Njia hii wanasayansi watakuwa kwamba dawa mpya ni bora na ikiwa ni bora kuliko yote. Watu wenye Ukimwi wanataka dawa bora zaidi. Kwa hivyo wanasayansi wafanye majaribio mawili, moja kutumia placebo kwa hivyo watu watapata dawa mpya haraka na mengine kuona ikiwa dawa hii ni bora zaidi. Kuwa ya maadili labda wasayansi watumia watu wa "placebo" kwa jaribio la pili. Lakini siyakinii.
Post a Comment