Kuna tofauti nyingi sana kati ya nchi ya Kenya na nchi za Kimagharibi. Kwa mfano barabara za Kenya zinaharibika na katika sehemu nyingi za Kenya hakuna barabara hasa barabara za lami. Pia katika sehemu nyingi za nchi hakuna umeme, gesi, petroli, hospitali, au maji safi. Je, unafikiri hivi ni vitu ambavyo ni lazima tuwasaidie watu wa Kenya au labda unafikiri kwamba tuache waendelea na desturi zao?
Kati ya nchi za Kimagharibi kuna mdahili kuhusu njia nzuri zaidi kusaidia nchi za Ulimwengu wa Tatu kama Kenya. Watu wachache walisema nchi za Kimagharibi ziipe Kenya pesa na ziambie kampuni za Kimagharibi kutega uchumi nchini Kenya. Lakini watu wengine wanasema kwamba njia nzuri zaidi ni kwa vyama vya kusaidia (kama Samaritan's Purse) na watu wenyewe waingie Kenya na kusaidia. Wanasema hivyo kwa sababu wanasema serikali ya Kenya ni fisadi na itapoteza pesa. Na watu wengine wanasema Kenya inaweza kujisaidia, ina pesa za kutosha na itasababisha taabu yenyewe. Wanasema pia ikiwa nchi za Kimagharibi watasaidia Kenya, watu wa Kenya watakuwa watumwa wa pesa za Kimagharibi na halafu hawatajaribu kujisaidia. Je unafikiri nini? Ni kweli kuna shida nchini Kenya ambazo ni lazima zirekebishe? Unafikiri njia ya kusaidia ipi ni nzuri zaidi? Kwa nini?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Kwa maoni yangu ni lazima serikali ya Kenya ijaribu kujenga vifaa katika jamii zote za Kenya na wakati mwingi inahitaji msaada wa nchi za kimagharibi. Ulimwengu wa kisasa umeingia wakati wa utandawazi, kwa hivyo ili Kenya igombee katika uchumi wa dunia, inahitaji kuboresha muundombinu yake. Lakini pia, ni muhimu sana kuwa Kenya inazoea maendeleo endelevu. Ingawa jamii zinahitaji maendeleo na vifaa vingine, Kenya ina mazingira safi ambayo yanavuta watali wengi kutoka ng’ambo, na tunahitaji kuyakinga. Yaani, Kenya inahitaji teknologia mwafaka ambayo inaweza kutumuliwa na wananchi kwa rahisi. Pia ni muhimu kukinga tamaduni za makabila mbalimbali nchini Kenya, kwa sababu jamii zinajengwa juu ya tamaduni.
Ninadhani ni muhimu kwamba nchi za kimagharibi zinaendelea kupa nchi za ulimwengu wa tatu msaada ili maendeleo yaharakakishe. Lakini nchi hizi zinahitaji kudhibiti, vizuri zaidi, pesa yao. Ni afadhali watu ambao ni waminifu na wanafanya miradi mwafaka katika jamii maskini waipewa pesa hii. Ni lazima nchi hizi zisiwapatie wanasiasa fisadi pesa yao.
Vyama vya kusaidia vina kazi tofauti na mashirika mengine ya nchi za kimagharibi (kwa mfano Benki ya Dunia) ambayo yanapatia msaada wao wa maendeleo. Vyama kama Red Cross vinaauni watu katika maafa asilia. Msaada wa aina zote ni muhimu nchini Kenya. Wengi wanaathirika na maafa asilia kama ukame na balaa ya ukimwi. Kwa hivyo Red Cross inatakiwa kuwasaidia. Ni kweli Red Cross wanapata pesa kutoka serikali za nchi za kigamagharibi na inahitaji kuitumia pesa hii kwa makini. Mashirika mengine, ambayo wanasaidia na msaada wa maendeleo, yana umuhimu mkubwa kusaida nchi ya Kenya kupinga unyonge na kuingia karne ya ishirini na mmoja.
Hakuna njia nzuri zaidi kusaidia Kenya kuboresha maisha ya wananchi yake. Ni lazima mashirka menig wafanye kazi pamoja na kwa makini kwa sababu kuna matatizo mengi ambayo yanataka suluhisho.
Nakubali na Jason ninaposema kwanza, ni muhimu kwa serikali ya Kenya kujisaidia. Ijapokuwa kuna matatizo mengi huko, ili kupata bora, fedha kuboresha hali ya maishi katika nchi ya Kenya inahitaji kuja kwa ndani. Kwa hivyo, wakati hali ya maisha huko inapata bora, itaendelea kukaa bora na haitategemea nchi za kimagharibi. Ni bora zaidi kwa kila nchi kutumia mitaji yake kuboresha hali ya maisha.
Lakini ikiwa hakuna pesa kweli katika nchi ya Kenya au nchi za dunia tatu, ni muhimu kwa serikali na pesa nyingi, kama nchi za kimagharibi, kusaidia na pesa nyingine. Ni haki ya kila mtu katika dunia hii kuishi na chakula na kimbilio. Kwa hivyo, ikiwa nchi za kimagharibi zina pesa nyingi, na zinahitaji kupatia nchi za dunia tatu, ni haki yake. Ningesema ni kitendo cha uraru.
Kweli, katika kila nchi ya dunia, kuna matatizo mengi. Pengine huko Afrika ya Mashariki matatizo ni muhimu zaidi sasa kwa sababu watu hawali chakula na hawawezi kuendesha magari. Lakini pia katika Marekani kuna wezi na watu wanamadwa. Ninafikiri ni bora wakati mabadilisho yanakuja kwa ndani nchi na matatizo, ili mabadilisho yanaendelea.

Oops I posted twice! There goes three times. :O
Nakubali na Jakson, nadhani kwamba serikali ya Kenya inahitaji kujitahidi kujenga vifaa, na pia kusaidia umma wa nchi ya Kenya. Lakini, aidha nchi za kimagharibi zinahitaji kuisaidia Kenya na nchi nyingine za ulimwengu wa tatu.
Lakini jinsi ya msaada wa nchi za kimagharibi ni muhimu sana. Ikuwa nchi hizi wanawapa pesa kwa serikali za nchi za Afrika, wakati nyingi hii pesa inapotezwa mifukoni ya wanasiasa wafisadi. Kwa hivyo, mashirika na hasa mashirka yasilo ya kiserikali yanahitaji kufanya miradi ambayo inaweza kusaidia watu. Kwa jinsi hii, watu wanaweza kufuata pesa ambayo wanawapa na kuona kwamba kweli wanaweza kuwasaidia. Katika kiingereza kuna methali amabayo inamaana
"Ni heri kufundisha mtu kuvua badala ya kumpa samaki tu." Kwa maneno mengine, badala ya kuwapa watu pesa, ni bora zaidi kuwafundisha jinsi za kutengeneza pesa.
Nchi za Afrika zina raslimali nyingi kwa hivyo hakuna sababu mbona zina watu wengi hata hawawezi kupata chakula. Matatizo si kwa sababu nchi hizi hawana mali, ni sababu hawachungi vizuri raslimali zao.
Post a Comment